Return to graphical site

Scottish Refugee Council

24th July 2008
Advice in your language: English French Farsi Arabic Kurdish Somali Swahili Turkish Urdu
You are here: Home » Advice » Swahili » Advice

*

Ili kuweka mihadi katika Baraza la Ukimbizi Uskochi (Scottish Refugee Council) huko Edinburgh au Glasgow piga simu yetu ya dharura nambari 0800 085 6087. Unaweza kuona masaa yetu ya kufungua na ramani inayoeleza jinsi ya kutupata hapa. Ikiwa lugha ya Kiingereza siyo lugha yako ya kwanza, basi tutajaribu kupata mkalimani.

Kijitabu hiki kinaeleza juu ya huduma zote unazoweza kupata kutoka kwa Baraza la Ukimbizi la Uskochi (Scottish Refugee Council).

Tunaweza pia kukuelekeza kwa mashirika mengine yanayo shughulikia Wakimbizi na Watafuta Ukimbizi kupitia Mawasiliano ya Kufaa.

Pahali ambapo haikuwezekana kutafsiri maelezo kwa lugha yako katika sehemu hii, utaweza kupitia maelezo haya kwa lugha ya Kiingereza.